"Amezaliwa" Lyrics
"Amezaliwa" hà testi in swahili lingua.
"Amezaliwa" significatu vene da swahili lingua è attualmente ùn hè micca cunvertitu in traduzzione inglese.
#NewBornKingEp #WalterChilambo ##amezaliwa
.
Audio Produced by Walter Chilambo
visual by Director Aic
Cover artwork by Ballard
studio Production by Love Music Brand
AUDIOMACK -
SPOTIFY-
BOOMPLAY -
I'M BLESSED-
TWITER -
THREADS -
@walterchilambotz
INSTAGRAM -
FACEBOOK PAGE -
NEW BORN KING BOOMPLAY
NEW BORN KING AUDIOMACK
.
.
Amezaliwa lyrics Amapiano
Chorus
Tuna furaha maana amezaliwa mwokozi
(maana mwokozi Tunaimba maana mwokozi)
Tuna imba maana amezaliwa mwokozi
Tunafuraha
Tuna furaha maana amezaliwa mwokozi
(maana mwokozi Tunaimba maana mwokozi eh)
Tuna imba maana amezaliwa mwokozi
Verse
Hosana juu mbinguni wanaimba Halleluyah
Na sisi duniani tunaimba Halleluyah
Kwa maana mtoto amezaliwa EMMANUEL
Nguvu na mamlaka zimo mabegani mwake
EMMANUEL
Bridge
Sasa wote tumfurahie (aaaaah eeeeh)
Na utukufu sisi tumpatie (aaah eeeeh)
Tunafuraha
Chorus
Tuna furaha maana amezaliwa mwokozi
(maana mwokozi Tunaimba maana mwokozi)
Tuna imba maana amezaliwa mwokozi
Tunafuraha
Tuna furaha maana amezaliwa mwokozi
(maana mwokozi Tunaimba maana mwokozi eh)
Tuna imba maana amezaliwa mwokozi
Hook
Aaah huyo! huyo ! Ni Bwana
Huyo huyo huyo huyo huyo huyo ni Bwana
Eeh huyo! huyo ! Ni Bwana
Huyo huyo huyo huyo huyo huyo ni Bwana
Verse
Weka moyo wako tayari
Maana tayari kazaliwa tayari
Tushereheke tayari Vinubi matari
Kwake jemedari
Bridge
Sasa wote tumfurahie (aaaaah eeeeh)
Na utukufu sisi tumpatie (aaah eeeeh)
Tunafuraha
Chorus
Tuna furaha maana amezaliwa mwokozi
(maana mwokozi Tunaimba maana mwokozi)
Tuna imba maana amezaliwa mwokozi
Tunafuraha
Tuna furaha maana amezaliwa mwokozi
(maana mwokozi Tunaimba maana mwokozi eh)
Tuna imba maana amezaliwa mwokozi
Hook
Aaah huyo! huyo ! Ni Bwana
Huyo huyo huyo huyo huyo huyo ni Bwana
Eeh huyo! huyo ! Ni Bwana
Huyo huyo huyo huyo huyo huyo ni Bwana